Rooms for rent

Kilicho Bora, Salama na Uhakika

Karibu na Barabara

Maeneo yetu yapo karibu sana na barabara vilevile kuna wingi wa usafiri wa karibu (bodaboda na bajaji) wa kukufikisha popote.

Zero
Ubabaishaji

Mkataba ni halali na salama wa kumlinda mpangaji na mpangishaji, vipengele vyote vizingatiwe.

Safi na
Salama

Kaulimbiu yetu ni usafi na usalama wa eneo, mpangaji na mali za mpangaji. Hatua zitachukuliwa kwa tishio la usafi na usalama.

Mkataba wa makubaliano

Jaza mkataba kidigitali

Rooms for Rent kupitia M-Rent consultants inakuletea mkataba kidigitali. Makataba kidigitali unamuwezesha Mpangaji na Mpangishaji kuwa na Kumbukumbu ya uhakika na huondoa mfumo wa makaratasi.

Mpangaji mwenye nia ya kupanga anachotakiwa kufanya ni kuweka taarifa zake kamili katika nafasi zilizoachwa wazi na kubonyeza kutufe cha “Wasilisha Mkataba” ili kukusanya mkataba wake. Baada ya hapo Mpangaji atapokea ujumbe wa kupokelewa kwa mkataba wake. Taratibu zingine zitafuata baada ya hapo.